Joshua 22:1-3

Makabila Ya Mashariki Yarudi Nyumbani

1 aNdipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, 2 bnaye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Mose mtumishi wa Bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. 3Kwa muda mrefu sasa, hadi siku hii ya leo, hamkuwaacha ndugu zenu, bali ninyi mmetimiza ile kazi Bwana Mungu wenu aliyowapa.
Copyright information for SwhNEN